DMX kurudishwa juu tena kwa kiki la Swizz Beatz,Kanye West Na Dr Dre.
Swizz amesema DMX kwa sasa anamalizi album mpya kwenye studio yake, amekuwa Sober na yuko tayari kurudi na kuchukua nafasi yake kwenye Hiphop.
Jipya lingine ni kuwa Kanye West na Dr Dre atakuwepo kwenye album hii ya DMX ikiwa na mara ya pili wanafanya kazi pamoja baada ya kufanya kazi mwaka 2003, ambapo Kanye West alitengeneza album ya “Dogs Out” kwenye album ya DMX ya Grand Champ.
Hakuna maoni