Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/music/Drake asema album yake ya ‘Views’ imeuza kopi 630,000 ndani ya usiku mmoja.
Drake asema album yake ya ‘Views’ imeuza kopi 630,000 ndani ya usiku mmoja.
Rapa Drake amethibitisha kuwa album yake ya nne ya VIEWS Imeuza kopi 630,000 ndani ya usiku mmoja baad aya kutoka.
Drake anasema album imeingia iTunes alhamisi usiku na na kufikisha namba hizo. Views inawasanii kama Rihanna, Future,na PARTYNEXTDOOR.
Hakuna maoni