Master j asema maproducer wa muziki Bongo wana hali mbaya sana.


Mtayarishaji mkongwe wa muziki Tanzania, Master J ambaye pia ni mmiliki wa lebel ya Mj Records inayoendeshwa na Marco Chali ameongelea hali mbaya ya maproducer wa Tanzania kwa sasa.
Master J akiongea kwenye kipindi cha FNL,  alisema “Maproducer  wa muziki Bongo wanahalimbaya sana, madirector ndiyo wanamiliki magari na majumba,kama inawezekana wasanii waende kufanya show mikoani na video zao halafu waone itakuwaje,”
Master J amekuwa akilalamikia pesa ndogo wanayolipwa maproducer wa bongo.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.