LEO NDIO LEO JUMBA FC vS VIDEO TOWN FC

Mechi ya kirafiki ya Mpira wa miguu itachezwa Leo Tarehe 12.09.2021, kwanzia mida ya saa 9 mchana wa leo, wakipimana nguvu Vijana wakutokea EAST AFRICA. 

JUMBA FC vS VIDEO TOWN FC.

JUMBA FC wakiwa Uwanja wao wa nyumbani TURFONTAIN maarufu kwa (UWANJA WA MATENITINI)

VIDEO TOWN FC wao ni watani wao wa Jadi, Ni vijana wakutokea mitaa ya Rosettenville Johannesburg ya kusini maeneo
ya Video Town.

Hii sio ya kukosa kabisa, wadau wote na mastaa wote kutokea Johannesburg watakuwepo kama DADDY BONGOMOVIE, CREDO MASTA, FORTUNATUSE KASOMFI, EMZONA CLASSIC na wengineo wengii mjini watashiriki katika MECHI HIYO YA KIRAFIKI,

Pia KazikaziTv na Team yake ya habari watakuwepo Uwanjani,  ilikuweza kupata habari kamili na matokeo ya watani hao wajadi..

Habari Kutoka makao makuu ya KAZIKAZI MEDIA SOUTH AFRICA.

Kwa mawasiliano zaidi au habari piga +27 78 378 9364.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.