Wanawake Tafuteni hela zenu, Kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati


Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.