YANGA FC YAPATA PIGO

Klabu ya soka ya Yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na mjumbe wa baraza la wazee wa klabu hiyo mzee Hashim Mwika.
Mzee Mwika ambaye alikuwa mwanachama wa muda mrefu amefariki dunia ghafla na bado taarifa ya familia inasubiriwa kujua chanzo cha umauti wake.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.