Hanspope Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hanspope amefariki dunia usiku huu baada ya kulazwa kwa siku kadhaa kwenye hospitali ya Aga Khan.

Enzi za uhai wake Zacharia alifanikiwa kuingoza Simba katika sajili mbalimbali za muhimu pia alihusika kwa kiasi kikubwa kuisaidia Simba kusajili baadhi ya wachezaji wa kimataifa ikowemo Emmanuel Okwi kutoka Uganda.

Bado tunaendelea kufuatilia kwa kina juu ya msiba huu kaa karibu na Phoenix Browser kupata taarifa za uhakika zaidi

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.