JUMBA FC vS VIDEO TOWN FC, MATOKEO YALIKUA HIVII...
Ile mechi ya mpira wa miguu iliyopigwa siku ya jana kwanzia mida ya saa 9 alasiri, dhidi ya watani wajadi wa kutoka VIDEO TOWN (VIDEO TOWN FC) wakiwatembelea ndugu zao au watani wao wakiongozwa na mzee wanjunga Huncy Omary maarufu kwa jina la (KIBAKA), wakisaidizana na Dotto Digala, Mensa, Mshamu, katika safu kuu ya benchi la ufundi...
Huku upande wa JUMBA FC wakiongozwa na Daddy Homeboy, pamoja na Benny (Mchezaji wa zamani wa SIMBA) Kwenye kamati ya Ufundi.
Timu zote hizo zilikuwa na nguvu sawa kwa kutoka na ushindi wa magoli 1-1, Wakianza kushinda Video Town Fc kwenye dakika za mwanzo za meshi yani kipindi cha kwanza, na Jumba Fc wakarudisha goli hilo kwenye dakika za mwisho kabisa karibia mpira kuisha.
KIKOSI CHA VIDEO TOWN FC
Hakuna maoni