Ni Balaa tupu utajiri wa Harmonizer na rayvanny



HATA wewe ukiulizwa kati ya msanii Rayvanny kutoka Lebo ya WCB na Haromonize, bosi wa Konde Gang nani ana mkwanja mrefu? Utaweweseka.

Kwanza; kwa sababu mali wanazomiliki mastaa hao wa muziki wa vijana Bongo, haziko kwenye rekodi zilizo wazi. Lakini pili, miruzi ya watu itakupoteza.

Wapo wanaoamini kuwa, Rayvanny amemzidi sana Harmonize kimapato kutokana na kile kinachotajwa kuwa, anapiga mkwanja mrefu kupitia mitandao ya kijamii inayodili na muziki.

Kwa mfano, hivi karibuni takwimu za mtandao wa Spotify zinaonesha kuwa, Albam ya Rayvanny ya The Sound From Africa, imetazamwa na watu 24Mil, huku ile ya

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.