Aliyekuwa Mpenzi wake Rotimi Amuonya Vanessa Mdee "Usijihisi Umefika Hata Mimi Nilikuwa Kila Kitu Kwake ila Akamuacha"


Aliyekuwa mpenzi wake Rotimi, mwanadada mjasiriamali tokea Nigeria @kimoprah amempa ushauri @vanessamdee kuwa asijisikie raha sana maana hata yeye pia alikuwa ni kila kitu kwa Rotimi ila kwa sasa hola.

“Don’t get too comfortable sweetheart, I was his everything once too” Kim Ametumia video yake ya tik tok kufikisha meseji hiyo kwa Vee Money.

Reactions za watu zimekuwa ni kubwa sana hasa wengi wakiona kama anaona wivu na hajaweza kumove on kwenye huba la Rotimi.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.