LEO NDIO LEO: VIDEO TOWN FC VS JUMBA FC WANAKUTANA TENA 26 SEPTEMBER, KILA MMOJA AKIMTAMBIA MWENZAKE, WANASEMA HIYO NI ZAIDI YA DARBY, YA SIMBA NA YANGA


Kazikazi nikireport kutoka Johannesburg Afrika ya kusini, kuhusu metch ya kirafiki dhidi ya JUMBA FC wakiwa uwenja wao wa nyumbani, Turfontain (Matenitini) na huku VIDEO TOWN FC wakiwa wageni kutokea Rosettenville maeneo ya video Town. 
Wasemaji wa timu zote mbili wamesema mechi itaanza mida ya saa 9mchana siku ya Jumapili 26 September 2021.


Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu bwana Ramsey Dadinho ambaye ndio Kocha wa JUMBA FC, amesema kuwa timu yake imejipanga vizuri kukutana na wapinzani wao VIDEO TOWN FC, baada ya mechi iliyopita timu hizo kutoka sare ya magoli 1 - 1. 
Pia ameongezea kwa kusema wapinzani wao wameamisha wachezaji wao ambao wengi wao wanajua team spirit yao, Na wamewanunua kwa kuwapa chochote kitu, lakini yeye hilo Hali mtetemeshi hata kidogo, kwa sababu timu yake ni bora na imejipanga kivyovyote kutoa ushindi wa Jumapili hii, Pia akijitamba Kocha huyo amesema timu yake ya JUMBA FC ni timu ambayo haija gawa ndondo kwa raisi wakigeni Bali wote ni watanzania Tena sio wambagala pekee wameweka mpaka wa kutokea Kinondoni, ilala na hata wamikowani. 

JUMBA FOOTBALL CLUB
1. Mahmoud 
2. Abbas
3. Nyoni
4. Dumbunye
5. Dadinho Jnr
6. Job Sunday
7. Ndakimanzi Munyigi
8. Hans Fabrigas
9. Nicodemus
10. Shumaya
11. Nasri

SUBSTITUTE:
12. Ti mtu m'bad
13. Issa
14. Calvin
15. Kaisi
16. Silva
17. Doi

TEAM COACH :
Ramsey Dadinho. 
Assistant Coach:
Benito John Masaga

Akiongea na mwandishi wetu wa KAZIKAZITV na kazikazinewsupdates.blogspot.com kapteni wa VIDEO TOWN FC ngudu matola amesema japo mechi na wapinzani wao JUMBA FC ni mechi ndogo sana japo inaupinzani mkubwa, lakini kwa upande wake na timu yake wamejipanga kupata ushindi usio punguza magoli 3-0 lakini hiyo ni kama waaacha kufanya fujo, maana mpira kwao ni burudani, starehe urafiki, biashara na sio vita, hivyo amewakaribisha mashabiki kushiriki kwa Kuja kujiona game hii, Jumapili 26 September 2021, watakavyo wagaragaza JUMBA FC uwanja wao wa nyumbani. 

VIDEO TOWN FOOTBALL CLUB
1. De gea (GK
2. Prince
3. Lizzy
4. Bony sela
5. Derick Mbaga
6. Mineshi
7. Salumu Gaucho
8. Isaac Maestro
9. Masudi Baroteli
10. Hassan Benzema
11. Tola (C)

SUBSTITUTE
12. Dullah Q
13. Kapumbu
14. Gerrad

BENCHI LA UFUNDI
Kibaka Hans
Malume Dotto
Mensen selecta
Mshamu
Baby the boss
Sponsore

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.