Kumekucha..Ray C Apimwa Ukimwi Majibu Haya Hapa
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C ameamua kuanika majibu yake ya vipimo vya virusi vya Ukimwi alivyopima hivi karibuni.
Ray C ambaye aliwahi kutamba na vibao vikali kama vile ‘Mapenzi matamu’, ‘Na wewe milele’ na vinginevyo ameweka wazi kuwa hana maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Hakuna maoni