MADEREVA NJOMBE WAGOMA KUTOA MABASI

  Madereva wa mabasi wamegoma kutoa mabasi standi kwa kudai kwamba wanapigwa faini kwa ajili ya speed kubwa huku wakidai spidi yao ni ya kawaida ambayo 84 hadi 85 .                                      Hapa ni RPC akiwa amefika kuongea nao kwaajili ya kulimaliza hili tatizo 

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.