Emzona Classic (kazikazi) ndani ya kipindi cha KUTOKA UGHAIBUNI Party_ 2
Yule kijana mwanaharakati na mtafutaji wa KITANZANIA ambaye ni mmiliki wa kampuni ya KAZIKAZI MULTIMEDI SOUTH AFRICA. akifunguka kuhusu mitiani ya safari yake kipindi anaingia afrika ya kusini na mikasa aliyopitia njiani mpaka kufika kwake Afrika ya kusini.Pia akitoa Ushauri kwa Vijana mbalimbali walioko nyumbani EAST AFRICA na kote Duniani, Wanaotaka kusafiri na kwa kwenda kujitafutia maisha nchi za mbali na nyumbani.
FUATILIA LINK HAPO CHINI UJIONEE YOTE YALIO JIRI....
PARTY 1: https://youtu.be/t0oQ61aydj8
Hakuna maoni