Wakati Utani wa JADI, ukiendelea huko kwenye magroup ya social media, Hilo likiwa ni Group la VIDEO TOWN FC, Wakiwa Wanarusha vijembe, hivyo ndivyo inavyo kuwa wanapokutana wahasimu wa wili. 

Lakini usalama ni 99.9% hakunaga utata wala matatizo, kwa mashabiki na wote watakao hudhuria mechi hii.. 
Hiyo Asilimia 1% tunamuachia mungu

Akiongea na mwandishi wetu wa KAZIKAZITV na kazikazinewsupdates.blogspot.com kapteni wa VIDEO TOWN FC ngudu matola amesema japo mechi na wapinzani wao JUMBA FC ni mechi ndogo sana japo inaupinzani mkubwa, lakini kwa upande wake na timu yake wamejipanga kupata ushindi usio punguza magoli 3-0 lakini hiyo ni kama waaacha kufanya fujo, maana mpira kwao ni burudani, starehe urafiki, biashara na sio vita, hivyo amewakaribisha mashabiki kushiriki kwa Kuja kujiona game hii, Jumapili 26 September 2021, watakavyo wagaragaza JUMBA FC uwanja wao wa nyumbani