CHAMA CHA WATANZANIA WANAOISHI AFRICA YA KUSINI (TACOSA), KUKUTANA SEPTEMBER 26, 2021 KUJADILI MAENDELEO NA MIKATATI MBALIMBALI
*KIKAO CHA DHARURA3-TACOSA GAUTENG*
*SIKU: JUMAPILI 26 SEPTEMBER 2021*
*MUDA: SAA 8:00 MCHANA*
*MAHALI: 51 REGENT STREET, YEOVILLE (GRILL HOUSE)*
*AGENDA ZA KIKAO:*
1. TAARIFA FUPI YA TACOSA
2. KUUNDA KAMATI YA UDHAMINI
3. KUJADILI JINSI YA KUPATA VIONGOZI WAPYA
WAHUSIKA: WANACHAMA NA WATANZANIA WOTE WANAOIPENDA TACOSA
NB: ANAYEPATA UJUMBE AWAJULISHE NA WENGINE.
Kwa niaba ya Mwenyekiti wa TACOSA
Alex Minja
Katibu TACOSA
083 968 9176
Hakuna maoni