KOCHA WA SIMBA AFUNGUKA KUELEKEA MECHI YA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR
KOCHA MKUU WA SIMBA S.C. akifunguka mtazamo wake dhidi ya Kagera sugar
KOCHA MKUU WA SIMBA S.C. akifunguka mtazamo wake dhidi ya Kagera sugar
Klabu ya RS Berkane ya Morocco imewasilisha malalamiko kwa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuhusu mwamuzi wa DR Congo, Jacques Ndala ...
1: POINTI 3 NGUMU NA ZA THAMANI KATIKA BEGI LA WANANCHI👏 Wanarudi Dar Es Salaam miili ikiwa imechoka Lakini mioyo yao itakuwa yenye furaha ...
Klabu ya David Beckham inayoshiriki ligi kuu ya Marekani ya MLS, Inter Miami ipotayari kufanya kila linalo wezekana kumsajili, Lionel Messi,...
Klabu ya Yanga leo Feb 18 itafanya uzinduzi wa kadi mpya za Uanachama za kielektroniki kwa Wabunge wa Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzan...
Mabingwa watetezi wa Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup, Simba SC hapo jana iliibuka na ushindi mnono wa jumla ya magoli 7 – 0 ...
Gwiji wa zamani wa Manchester United, Peter Schmeichel ameitabiria klabu yake ya zamani kuwa na uwezekano mkubwa wa kutwaa kombe la ligi ya ...
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msola amesema kuwa alipoingia madarakani alikuta jumla ya mishahara ya wachezaji na wafanyakazi...
Soka la kitaa linaendelea kuwa fursa kwa vijana na chachu ya ushirikiano. Meridianbet Mkuchu Cup imechukua taswira h...
WAMECHUKUA. Sadio Mane ameibeba Senegal baada ya kufunga penalti ya mwisho iliyowapa Senegal ubingwa wao wa kwanza wa fainali za Mataifa ya ...
Miamba ya soka Barani Afrika Simba wa Teranga Senegal wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya AFCON baada ya kuifunga Burkina F...
Manchester City wamethibitisha kuwa beki wao wa pembeni Joao Cancelo ametia saini mkataba mpya, utakaomfanya kusalia Etihad hadi mwaka 2027....
KLABU ya Simba imefanikiwa kusonga mbele kombe la Azam Federation Cup mara baada ya kufanikiwa kuwachapa mvua ya magoli timu ya Dar City mab...
Mambo mabaya yanawakuta Simba Kaitaba Stadium - Hamis Kiiza anaifungia goli Kagera Sugar dakika 17 za mwisho za mchezo. Hakika Simba kwa Sas...
Meneja wa Idara ya Habari ya ya Simba SC Ahmed Ally amewapoza Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Kagera ...
Jose Mourinho baada ya kuhusishwa kurejea England kuifundisha Everton, mwenyewe afunguka na kusema kuwa kamwe hana mpango wa kuachana na AS ...
Cristiano Ronaldo atalazimika kukatwa asimilia 25 ya mshahara wake msimu ujao kutoka paundi 385,000 kwa wiki mpaka kufikia 300,000 kama enda...
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama ameanza kuwapa raha mashabiki wake mapema baada ya kupiga pasi zinazofika eneo husika. Kocha wa Simba, Pablo ...
KIPA wa Mbeya City, Deo Munishi amekiri kama staa wa Simba, Bernard Morrison angekuwa makini juzi angemfunga. Kipa huyo maarufu kama Dida, a...