Mishahara Yanga SC kwa mwezi ni milioni 450
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msola amesema kuwa alipoingia madarakani alikuta jumla ya mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wa timu hiyo ni shilingi milioni 40 kwa mwezi lakini kwa sasa wanapokea jumla ya mshahara ya shilingi milioni 450 kwa mwezi hii ni kutokana na kuongezeka wa wadhamini wa klabu.

Pia amesema kuwa wanayanga wapo wengi sana lakini hawaisadii timu wanachotaka wao muda wote ni furaha tu si vinginevyo.
Hakuna maoni