Jiko la mkaa laua watoto wawili Tabora
Kwa mujibu wa Eatv. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao, amesema kwamba kutokana na nyumba waliyokuwa wakiishi familia hiyo ya watu watano kuwa na madirisha madogo ilipelekea kukosa hewa na wawili kufariki huku wengine wakikimbizwa hospitali kwa mataibabu.
Katika tukio hilo watu watatu wakiwemo Baba na Mama wa watoto hao bado hali zao si nzuri na wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete.
Hakuna maoni