SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA (TCC)
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiteta jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano kampuni ya Sigara Tanzania , Ndg. Patricia Muhando (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano kampuni ya Sigara Tanzania, Ndg. Patricia Muhando walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022
Hakuna maoni