Wizara Ya Afya Na Shirika La Afya Duniani Zasaini Mpango Wa Utekelezaji Wa Afua Za Afya Wenye Thamani Ya Shilingi Bilioni 49.2
NA WAF. DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesaini mpango wa utekelezaji wa afua za afya za kila mwaka unaoandaliwa na Shirika la Afya ...