Mvua yaleta maafa Brazil, 94 wafariki Dunia

Meya wa mji huo Rubens Bomtempo ameonya kuwa idadi ya vifo inaweza kuongezeka. Idara ya zimamoto na vikosi vya uokoaji vinaendelea na zoezi la kuwatafuta waathirika.
Takriban nyumba 80 zinasemekana kuathiriwa na maporomoko ya udongo na zaidi ya watu 377
Hakuna maoni