Freeman Mbowe na Wenzake Wakutwa Na Kesi Ya Kujibu


Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mashitaka matano kati ya 6 ambapo sasa watapaswa kuanza kujitetea.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.