Mambo mabaya yanawakuta Simba Kaitaba Stadium - Hamis Kiiza anaifungia goli Kagera Sugar dakika 17 za mwisho za mchezo.

Hakika Simba kwa Sasa Wanahitaji Maombi ya Mwamposa