Ronaldo kukatwa 25% ya mshahara kama Man United ikishindwa kushiriki UEFA Champions League msimu ujao

Cristiano Ronaldo atalazimika kukatwa asimilia 25 ya mshahara wake msimu ujao kutoka paundi 385,000 kwa wiki mpaka kufikia 300,000 kama endapo Klabu ya Manchester United itashindwa kufuzu kushiriki UEFA Champions League.

Mreno huyo amerejea Old Trafford msimu huu kwa dau la paundi milioni 20 akitokea Juventus lakini licha ya ujio wake bado yeye na klabu yake wakihahaha kuwa kwenye ‘form’ nzuri ya usindani kaunako Premier League wakiwa kwenye nafasi ya saba.

Ralf Rangnick akiwaongoza mashetani hao wekundu yupo nyuma kwa alama mbili dhidi ya West Ham waliyopo nafasi ya nne hukua akiwa na mchezo mmoja mkononi, wakati washindani wake kwenye nafasi hiyo Tottenham na Arsenal wakiwa wamecheza mechi chache zaidi kuliko United ilikafanikiwa kuingia kwenye vita ya kuwania kushiriki Champions League.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.