Kiongozi wa watanzania jijini DURBAN, Tawi la DURBAN, Amefariki dunia Jana 21/1/2022, Taarifa zimetufikia Jana jioni hii..
Kiongozi huyo alifahamika kwa jina BONTA .. Tutaendelea na kuwa juza taratibu za mazishi.
"Mungu ametoa na Mungu ametwaa"
"Innallillah wainnallillah Rajun"..
Hakuna maoni