VIDEO: Usikutwe umetupa taka Dar es salaam kuna vijana wamepewa kazi

April 30 2016 viongozi mbalimbali, wasanii na wananchi walifanya usafi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam na baadae kufanya matembezi kutoka maeneo ya Ilala, Temeke na Kinondoni na kukutana Leaders Club ambako imezinduliwa rasmi kampeni ya siku 90 ya Dar es salaam kuwa safi. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameizindua kampeni hiyo na ameyazungumza haya……..
>>>’tunavyo vikundi vingi vya Jogging, tumieni vikundi hivi, baada ya asubuhi kukimbia wafanye kazi ya kulinda maeneo mtu asichafue na kwa sababu wale watu wanaochafua wana fedha nyingi watozeni  na nusu iende kwa vijana hawa kama sehemu ya kipato chao‘

UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI………
                  

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.