Picha,Sasa Rick Ross naye ana Emoji zake,utafurahi ukiziona.
Emoji za Rozay zinapatikana kwa dola $0.99 kupitia kampuni ya Moji Keyboard, ambayo pia inasimamia Emoji za Fetty Wap, The Game na Future.
Emoji za Rick Ross ziko 83 zikiwa ni picha za Rozay akiweka sura tofauti na pozi zingine.
Hakuna maoni