Drake asema Kanye West ni role model wake,kuna kazi kubwa wanafanya pamoja.
Kwenye interview na Zane Lowe Drake amesema alimwangalia Kanye West
kama role model wake toka akiwa msanii mchanga na Kanye West anamchango
kubwa sana kwa yeye kuwa hapa leo.
Drake amesema wawili hawa walikuwa na mpango wa kutoa mixtape ila ratiba zilingiliana na sasa wana mpango wa kufanya kazi nyingine kubwa.
Drake amesema wawili hawa walikuwa na mpango wa kutoa mixtape ila ratiba zilingiliana na sasa wana mpango wa kufanya kazi nyingine kubwa.
Hakuna maoni