VIDEO: Hoja za mbunge Joseph Mbilinyi bungeni kuhusu mizigo kupungua bandarini na mengine

Bunge limeendelea tena April 29 2016 Dodoma ambapo miongoni mwa Wabunge waliochangia ni pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu mchango wake ukihusu bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais Tamisemi, mtazame kwenye hii video hapa chini

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.