Picha,Willow Smith kamuweka wazi mpenzi wake kwa mara ya kwanza.


Mtoto wa mwigizaji Will Smith ,Willow Smith mwenye miaka 15 ameanza kuweka wazi maisha yake ya kimapenzi na ameonekana kwa mara ya kwanza na mpenzi wake huko kwenye visiwa vya Hawaii akiwa na familia yake.
Willow ambaye ni balozi wa bidha za Chanel ameweka wazi kwa wazazi wake maisha yake ya mpenzi wake ili kuondoa ugomvi kati yake na baba yake kuhusu usiri wa mambo yake.
Willow_Smith2 Willow_Smith3 Willow_Smith4

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.