GoodNEWS: kwa mashabiki wa Barnaba hii isikupite (+Audio)
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori zote za April 27 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Barnaba amefunguka ujio wa album yake mpya.
Barnaba baada ya kuachia wimbo wake mpya April 26 2016 unaofahamika kwa jina la ‘Wanifaa’ haya ndio maneno ya Barnaba kuhusiana na album yake inayokuja…..>>> ‘kitu kizuri au kibaya ambacho watu hawakijui kupitia huu wimbo wangu ni kuwa ni wimbo ambao nimeurudia zaidi ya mara nne‘
‘Na
huu wimbo wa ‘Wanifaa’ ndio wimbo ambao utabeba jina la album yangu
mpya ambayo natarajia kuitoa tarehe 8/08, album ambayo natarajia kuiita
jina la ‘Eight Eight’ ikiwa imebeba siku yangu ya kuzaliwa yaani tarehe
nane ‘:-Barnaba Classic
Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….
Hakuna maoni