Hii video mpya ya rapa K.O wa Afrika kusini ‘Papa Action’ Enjoy.


South African rapper, Ntokozo Mdluli aka K.O aliyewahi kuwa na kundi la Teargas, ametoa video mpya ya wimbo wake wa “Papa Action“, sehemu kubwa ya hii video imefanyika nchini Marekani.

Bonyeza Play Kuitazama.

                      

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.