BEYONCE AZIMISHA NDOA YAKE NA JAY Z

beyonce and jayz

Nyota wa muziki na mke wa msanii Jay Z, Beyonce Knowles alimwimbia mumewe kibao chake cha zamani cha ‘Halo’ Miami kukomesha uvumi kuwa ndoa yake haiendi vizuri.Uvumi huo ulianza wiki moja iliyopita baada ya mwanamuziki huyo kutoa albamu yake mpya kwa jina la ‘Lemonade’.Lemonade ni video ya muziki inayoonyesha masaibu anayopitia mwanamke mweusi nchini Marekani.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.