Diamond Platnumz akiazimisha siku ya usafi mtaani na wananchi wenzake akiwa na ufagio
Diamond Platnumz akiungana na watanzania, mashabiki zake pamoja na team yake ya WASAFI CLASSIC kwenye kampeni ya kitaifa aliyoweka Mh. Rais Dr-JOHN POMBE MAGUFULI kuwa kila Juma mosi ya mwisho w mwezi ni siku ya usafi kitaifa..
HII NI PICHA YA DIAMOND AKIWA MITAANI MAWATUWAKE...
HII NI PICHA YA DIAMOND AKIWA MITAANI MAWATUWAKE...
Hakuna maoni