Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/news/Picha,Dj Khaled athibitisha kiki lake kwenye ziara ya Beyonce,wasanii watumia fursa kupiga picha na JayZ.
Picha,Dj Khaled athibitisha kiki lake kwenye ziara ya Beyonce,wasanii watumia fursa kupiga picha na JayZ.
Baada ya wadau kuchukulia powa uwezo wa Dj Khaled kwenye ziara
za Beyonce Dj huyu maarfu kwa kuwaleta wasanii pamoja kwenye colabo kali
amemtupia rapa Li Wayne, Future na Rick Ross kwenye stage moja mjini
Miami kwenye show yake iliyokalisha zaidi.
Dj Khaled amesajiliwa kwenye lebel ya Jay Z ya Roc Nation na atakuwa na Beyonce kwenye tour yote hii.
Hakuna maoni