TUNDAMAN: Aja na album ya kaswida
Tundaman
ameamua kutengenzea ngoma za kaswida na ilikua ni idea yake ya muda
mrefu kwani anamini muziki wake utaishia katika kuimba nyimbo za
dini…amesema ni mwanzo mzuri kila mwazo wa Ramadhani kufanya hivyo
na ramadhani ijayo atakua amekamilisha albamu pamoka na Video.
Wasikilize hapa mtu wangu…
Hakuna maoni