DAVIDO Atoa Mpya Kwa Watanzania Wanaompigia KURA Yeye MTV Awards, Awaomba Wamapigie Diamond Platnumz yeye Hana Shinda na KURA za WABONGO.
Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema anayelilia maoenzi na kiba anayetaka kupaa.
Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu
Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.
Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo
Hakuna maoni