MBUNGE ‘Sugu’ APORA MTOTO WA MIAKA MIWILI KWA MAMA YAKE FAIZA KESSY..
Imeendelea kuwa ishu ambayo kila mtu
anaiongelea kwenye kona yake anachokiona sahihi, wapo wanaokosoa
Mahakama kuamisha Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kupatiwa
mtoto wake na Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzake.
Wa kwanza kuwasha kipaza sauti alikuwa Mbunge Martha Mlata >>> “Tuna
Mbunge mwenzetu amemnyanyasa mwanamke mwenzetu ametumia siku moja
Mahakamani kumnyang’anya mtoto wa miaka miwili.. Mbunge huyu anajijua
kwa sababu mwanamke huyo anaitwa Faiza.. Faiza arudishiwe mtoto wake”>>>
Ikaja time ya Mbunge David Kafulila >>> “Hii nchi ina mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali… Tuheshimu maamuzi ya Mahakama”>>>
Waziri Saada Mkuya alikuwa wa mwisho kuongelea ishu hiyo hiyo >>> “Kama mama na mimi nilipoisikia ile taarifa nilipata uchungu, kila binadamu ana mapungufu yake lakini mtotto alelewe na mama yake”>>>
Sauti za wote nilizipata na nimekusogezea hapa pia.
Hakuna maoni