Nimekuwa Nikifuatilia kwa Makini sana hizi Mbio za Urais 2015 Kile
ninachokiona na Kama Vile mgombea Huyu Edward Lowassa Anependelewa na
Vyombo vya Habari Kila Kona iwe Magazeti, Blogs na TVs...Habari zake
zinapewa Airtime sana na kuandikwa sana ...
Je kuna nini Kinaendelea ?
Hakuna maoni