
Mwimbaji
wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na kuanza
kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015 ikiwa
ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za KTMA na
moja ya Tuzo za Watu 2015.
CHECK VIDEO KUTOKA AYO TV...AKIWA NDANI YA DALADALA
https://www.youtube.com/watch?v=UxhUNC1oknQ
Hakuna maoni