RAY C: awaachisha Vijana madawa ya kulevya
Leo 26 June ni siku ya kuadhimisha madawa ya kulevya duniani, na leo 255 imepiga stori na Ray C
ambaye ni mmoja wa walioarhirika na dawa hizo na ameweka wazi kuwa
tayari amewasaidia vijana zaidi ya 70 kuachana na dawa za kulevya na
wamesimama kwenye tiba na kufanya shughuli za kufanya.
Amesema hakuhitaji chochote kutoka kwao na amefanya hivyo kama asante yake kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ndiye aliyemsaidia kwa kiasi kikubwa kuendelea kutumia dawa za kulevya
Hakuna maoni