AMRY THE BUSINESS AMEKUJA NA PROJECT YA MTAA KWA MTAA
Nipromota anaekuja kwa kasi sana kwenye sekta ya Bongo Fleva(Muziki wa kizazi kipya) kwa kuandaa mashow ya wasanii, wa kubwa na pia kuwapa fursa wasanii wachanga (Undergrounds) kwa kuwaandalia Show Mijini na Vijijini.
Safari hii Amekuja na project yake ya Usambazaji wa Nyimbo mitaani, Nyumba kwa nyumba, Bodaboda na Badjaji kwenye Vituo Vyote Nchini, Project yake hiyo ameipa jina la mtaa kwa mtaa.
Hakuna maoni