Tattoo ya Wema Sepetu Mgongoni Mwa Kajala. UTATA MKUBWA


Wema Sepetu na Kajala Masanja Walikuwa Marafiki wa kufa mtu , baada ya Wema Kumlipia Kajala Mil 13 ili aachiwe kutoka Gerezani Kajala alijichora Tattoo mgongoni mwake yenye jina la Wema , Sasa am just wondering kama hiyo tattoo bado anayo baada ya urafiki wao kuvunjika kwa muda mrefu?

Hii hapa ndio ilikuwa habari ya Kajala kujiweka Tattoo ..bonyeza Hapa:

Kajala Aamua Kujichora Tattoo ya Wema Sepetu Kumuenzi


Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.