"OMMY DIMPOZ" Aambulia Matusi kutoka kwa Mashabiki
Mwimbaji Ommy Dimpoz wa bongofleva yamemfika hapaaa na ikapelekea aamue tu kutoa ya moyoni mwake baada ya kupost picha ya tangazo la video mpya ya Ali Kiba kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015.
‘Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje?? matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa, lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’o‘ – Ommy Dimpoz
Hakuna maoni