MKUTANO MKUBWA WA KUFUNGA MWAKA UMOJA YA WATANZANIA AFRIKA YA KUSINI (TACOSA) NOVEMBER.21.2021

Uwongozi wa TANZANIA COMMUNITY LIVING IN SOUTH AFRICA (TACOSA) Umeandaa mkutano utakao wakutanisha wanachana wa TACOSA na  watanzania wote kutoka majimbo na mikoa yote nchini afrika ya kusini kushiriki katika mkutano huo, unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili Tarehe 21 November 2021.

Mgeni rasmi atakuwa Muheshimiwa Meja Jenerali( Mstafu) GAUDENCE SALIM MILANZI - Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya kusini.

Maeneo ya HOFLAND PARK RECREATION CENTRE, Anuani: 5th Avenue Corner 4th street, Bezuidenhout valley (Bezvalley) Johannesburg 2094 Johannesburg South Afrika

Kuanzia saa 8mchana mpaka 12 jioni.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na uwongozi kwa: 
Tel:- +2765575454
Call: +27 83 968 9176

Email: admin@tacosa.org.za

HII SIO YA KUKOSA KABISA ..  UKIPATA TAHARIFA MTAHARIFU NA MWENZIO





Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.