Mahakama yatupa pingamizi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake
Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali kupokea barua inayomthibitisha Askari Mpelelezi, Ricardo Msemwa, kuwa ndiye aliyepokea kitabu cha mahabusu, kutoka kwa msajili wa mahakama hiyo
Hakuna maoni