BREAKING NEWS: MOTO MKUBWA WAUNGUZA HOTEL ZA KIFAHARI ZANZIBAR

Kitoka visiwani Zanzibar, Hotel 5 za kitalii zimeungua kwa moto na kuteketea, huku wakiwa kwenye jihada za kuzima moto huo, hakuna walichofanikiwa

 Hoteli zilizo athirika ni:
Villa de Coco, Sharazad, Spice Island, Fun Beach and Kobe hotels gone.

Akiongea kwa masikitiko makubwa moja kati ya wadau wamesema
"Very sorry to Jambiani and Zanzibar in general
Jambiani Right now 
5 hotels gone by Fire outbreak
Villa de Coco, Sharazad, Spice Island, Fun Beach and Kobe hotels gone."

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.