KIKAO CHA TACOSA, UMOJA WA WATANZANIA WANAOISHI AFRIKA YA KUSINI CHA TIA KUFURU, CRDB BANK TANZANIA WAHUSISHWA
Mkutano mkubwa wa Umoja WA watanzania wanaoishi Africa ya kusini (TACOSA) walioupa Jina la MKUTANO WA KUFUNGA MWAKA..
Uliofanyika 20 november 2021, Johannesburg, eneo la Berzvalle, Ukiwashirikisha watanzania wote wanaishi nchini afrika ya kusini, DURBAN, CAPETOWN, JOHANNESBURG, n.k. Pia Ukiacha mgeni rasmi wa mkutano huo kuwa ni Muhashimiwa Generali Mstaafu GAUDENCE SALIM MILANZI ambae ndio Balozi wa watanzania Africa ya kusini,
Pia mkutano huo Ulipata ugeni mkubwa kutoka Tanzania CRDB Bank wakileta Team ya wawakilishi wao kutoka tanzania na Walishiriki mkutano huo na kuwatambulisha watanzania baadhi ya huduma zao mbalimbali zitakazo weza kuwanufaisha watanzania haswa wanao ishi afrika ya kusini, na huduma za kununua nyumba hata ukiwa mbali ya nyumbani(Tanzania), Bank ya CRDB inauwezo huo.
Watanzania wa lipata muda mzuri wakujua shughuli zanazofanyika Ubalozi kwao na huduma wanazoweza kupata katika ubalozi wa Tanzania, Na kijadili mambo ya msingi na changamoto wanazinazo wakabili watanzania wa afrika ya kusini. kama maswala yafuatayo:
-Urahia pacha
-Usafirisha Maiti na Matozo ya airport ya nyumbani Tanzania
-Jinsi ya Kupata karatasi ya dharura ya kusafiria
-Jinsi ya Kupata Passport mpya kupitia ubalozini
-TACOSA kubeba dhamana ya kutambua watanzania wenzao
namengineo mengi mengi.
Babkubwa
JibuFutaVery nice
JibuFuta