Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/
Unlabelled
/Lukuvi "Marufuku Madalali Kuchukua Kodi ya Mwezi Mmoja Kutoka Kwa Wapangaji"
Lukuvi "Marufuku Madalali Kuchukua Kodi ya Mwezi Mmoja Kutoka Kwa Wapangaji"
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amewapiga marufuku madalali wa nyumba kuchukua kodi ya mwezi mmoja kwa wapangaji, kama malipo ya kuwatafutia makazi. Amesema madalali walipwe na wenye nyumba.
Hakuna maoni